Nyumbani → Vifaa vya usaidizi → Kiti Cha Choo (Commode Chair)
Tsh 200,000
Tunajali utu na faraja ya mgonjwa wako. Kiti hiki cha choo kimetengenezwa kwa chuma imara, kina mto laini wa kukalia, na ndoo ya ndani inayoweza kutolewa na…
🛒 Ona kwenye Duka / Nunua 💬 Uliza kwa WhatsAppBidhaa hii haikusudiwi kutibu, kuponya au kuzuia ugonjwa wowote. Si mbadala wa ushauri wa kitabibu. / This product is not intended to diagnose, treat, cure, or prevent any disease.
Bofya "ORDER NOW" kwenye ukurasa huu, au tuandikie WhatsApp +255 678 883 675. Tunakufikishia Dar es Salaam, mikoani, na pia Kenya, Uganda na Burundi.
Rejareja ni Tsh 200,000. Ukinunua vipande 5 au zaidi ni Tsh 132,000 kwa kimoja, na vipande 10 au zaidi ni Tsh 110,000 kwa kimoja.
Tunapokea M-Pesa, Mixx by Yas, HaloPesa na NMB. Maelezo kamili yako kwenye ukurasa wa Uwasilishaji na Malipo.
Ndiyo. Tuandikie WhatsApp +255 678 883 675 na tutakujibu kuhusu matumizi, upatikanaji na usafirishaji.